Thursday, December 1, 2011

VIJANA WA SKAUTI WA MKOA WA MOROGORO WALALAMIKIA KUPEWA ROLI LA KUBEBEA TAKA:


Vijana wa skauti wa mkoa Morogoro wakiwa ndani ya roli la kubebea takataka na wengine wakijiandaa kupanda ili kuelekea kwenye kituo cha mradi unaopitia mbio za mwenge wa uhuru 2011 katika manispaa ya Morogoro zilizofanyika hivi karibuni, hata hivyo, baadhi ya vijana hao walitoa malalamiko yao kuwa roli hilo maalumu la kubebea takataka lilikuwa halikusafishwa na hivyo kutoa harufu kali inayonuka. Daaah..!!, Bongo bana, kaaazi kweli kweli.

No comments:

Post a Comment