Tuesday, November 29, 2011

MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA MAENEO MBALIMBALI NCHINI YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA ARUSHA NA KARATU:


Watu (kwa mbali) wakishangaa kipande kilichokatika baada ya mafuriko Mto Kirurumo kupasua barabara ya Arusha- Karatu na kuleta msongamano mkubwa wa magari. Majabali na mawe ya ukubwa tofauti yamezagaa na kurundikana katika barabara hiyo.Picha, Marc Nkwamena na Prisca Libaga- Maelezo.
 
 

No comments:

Post a Comment