Saturday, November 26, 2011

JOSE CHAMELEONE NA AJ UBAO WAPAGAWISHA MASHABIKI NCHINI MAREKANI:


Nyuma ya jukwa ni mwanadada Luren akipata flash ya pekee kabla ya onesho kuanza.
Cheza nikuchezee, juu na chini ni warembo wa Kiganda ndani ya Nyumba.
Mwana muziki wa kizazi kimpya kwa muziki wa R&B ndani ya Washington DC, AJ Ubao akiwarusha vibaya sana wapenzi wa muziki wa nyumbani wanaoishi hapa DMV Jana jumatano Nov 23, 2011 Nchini Marekani.
Aj Ubao alikuwa ni mumbaji wa pili kuimba katika onyesho hilo walioshirikiana na mwanamuziki kutoka Uganda Jose Chameleone, wakiwa nyuma ya jukwa akipata flash ya pamoja na mdhamin wake wapendo.
Muimbaji Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la Mwanamuziki wa Uganda, Jose Chameleone.
Cheif wa swahilivilla, Abou Shatry, akipata picha ya pamoja na kundi zima la mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone.
 
Mwanauziki wa kizazi kimpya ndani ya Washington DC, AJ Ubao, wa kwanza (kushoto) pamoja mzee wa kuwachanganya Dmk global Dickson Mkama, wa kwanza (kulia) wakiwa nyuma ya jukwaa na mwanamuziki (Jose Chameleone) aliekuwa anasubiriwa kwa hamu usiku wa jana Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving.
Mamia ya watu jana walifurika kuja kumuangali Msanii kutoka Nchini Uganda, Jose Chameleone, akiimba nyimbo zake zikiwemo mama roda, Jamalila, na nyingi nyenginezo.
Wapenzi wa tazamaji wakisubiri kwa hamu onyesho hilo kuazarasmi ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.S

No comments:

Post a Comment