Tuesday, November 29, 2011

CHINEDU IKEDIEZE (AKI) AFUNGA NDOA JUMAMOSI ILIYOPITA:


Msanii maarufu mfupi toka Nollywood, Chenedu Ikedieze almaarufu kwa jina la AKI, anayeigiza sana katika Comedy za AKI na UKWA, jumamosi iliyopita tarehe 26 mwezi huu amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nneoma Nwajah katika kanisa la St.Theresa-Imo state.Katika ndoa hiyo wasanii kadhaa wa maigizo/filamu wa Tanzania akiwemo Steven Kanumba 'The Great' walimtumia salamu za pongezi nguli huyo wa Nigeria, naye AKI akawajibu kwa kushukuru sana.

AKI akiwa 'ametupia haswaaa' vile vitu vya Kinaija naija, bonge ya pozi. Ooooh chalii, congratulation my broda.....

No comments:

Post a Comment