Tuesday, November 29, 2011

HATIMAYE BARABARA YA ARUSHA-KARATU YAANZA KUPITIKA JAPO KWA SHIDA:

Taratibu mama usije ukatumbukia majini.

Ado ado, slow but sure.

Baadhi ya mifugo ikipita upande mmoja wa barabara huku upande mwingine ukiwa umesheheni mawe.

No comments:

Post a Comment