Monday, May 6, 2013

TRIP TO BUTIAMA: MAKUMBUSHO YA MWALIMU JK NYERERE:

 Tulianzia hapa, kwa shoo ya mavazi mbalimbali.
 Nikatokelezea kimichezo na jezi yangu na partner wangu, patnaaaaaaa.
Taratiiibu.
 D-Malosha na Faith.
 Mmmh...!
 
 Wacha wee...!
Nyengaz,  Lweno Maswai.
 Tuko pamoja.
 Kaziiiii na Laiser.
 D-Tyming hapa.
 Dance dance na swahiba. We ain't scared, like stars on the sky.
 Miongoni mwa picha ninazozipenda sana, nawashauri wahusika wakasafishe picha hii kila mmoja awe na yake. Picha safi sana.
Nyingine ni hii.
 Na hii pia, nice picture. Haitokani na miujiza, simple, ni kujua tu kuwapanga wahusika wako, setting nzuri ya camera na uwezo mkubwa wa kutengeneza sura zenye furaha.....kisha unashoot.
 Zamu yangu ya kuonekana.
 Na K. Kazi

Aka, mwenzangu. Sitii neno. Ngoja tuendelee....
 Mlango mkuu wa kuingia Makumbusho ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 Tuko ndani tayari, mwenyeji wetu akituelekeza.
Kwa ndani ya makumbusho.

 Dada aliyetuongoza mpaka kwenye kaburi la baba wa Taifa.
 Kaburini alikozikwa baba wa Taifa.
Nikipata ukumbusho kidogo.

6 comments:

  1. It's hard to come by experienced people about this subject, however, you sound like you know what you'rе talkіng about!
    Thanκs

    My blog :: Get More Information

    ReplyDelete
  2. Greetings from Idaho! I'm bored to death at work so I decided to browse your site on my iphone during lunch break. I enjoy the information you provide here and can't
    wait to take a look when I get home. I'm shocked at how fast your blog loaded on my phone .. I'm not even using WIFI, just 3G .
    . Anyhow, awesome site!

    Visit my webpage; http://messagewalk.org

    ReplyDelete
  3. Greetingѕ! This іs my fігst visit
    tο youг blog! We аrе a cοllection of volunteerѕ anԁ staгting a nеw іnitіative in а communіty in the sаme niсhe.
    Your blog provided us uѕeful іnfοrmation to wогκ on.

    You have ԁоnе а οutstanding
    ϳob!

    my site - treatment For Hemorrhoids

    ReplyDelete
  4. Thanx all for commenting

    ReplyDelete