Wednesday, April 10, 2013

A TRIP TO MIKUMI NATIONAL PARK:

 Here, we began...!
 At Kolla View Lodge, somewhere around Moro Town.
 Mazaaa, Fazaaaa.
Kariiiiiiibu.
 A welcome note....!
 Jamaa fulani hivi...!
Yaap..
Swala aliyekaushwa. Hii sio picha ya kuchora wala plastic.
Mkuu wa pori.
Wapo wengi, hatetemeshwi mtu hapa.
 Simba ni mnyama adimu sana kuonekana kwa nyakati kama tulizofika sisi pale mbugani, lakini bahati ilikuwa yetu, tulimwona mnyama huyo japo kwa mbaaali akiwa amejificha.
Mcheki kwa hapo labda waweza mwona vizuri.
Watu kama hawa wapo tu...enjoyment eeeh, ofcoz.
Mmmh...! Shostiii. Mama SomeFood.
 Haya ni maeneo ya mapumziko (CampSite) ambapo baada ya kuzunguka zunguka kwa muda mbugani hupita hapa kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupata bites bites (kama mlikumbuka kubeba lakini) haha haha haha..!
 Ndiyo.
 Vipoko wakiwa majini..
 
 Kila mahali kuna N.O.T.I.C.E Soma maelekezo hapo juu, usije ukapigwa faini ukibaki kusema sikujuajua.

No comments:

Post a Comment