Huu ndio mkoko ambao mume wa Alicia Keys producer Swizz Beatz aliingia nao kwenye party ya rapper NAS kusherehekea Album yake mpya iliyotoka hivi karibuni (Life Is Good).
Zamani Nas na Jay Z walikua na beef la hatari lakini baada ya kupatana sasa hivi ni washkaji sana, hata Beyonce alikuepo pia kwenye hii Party.
Producer wa longtime na mume wa zamani wa Janet Jackson Jermain Dupri mwenye kofia nyeusi alikuepo pia.
Vashtie Kola.













No comments:
Post a Comment