Sunday, January 29, 2012

BIRTHDAY:

Raha zilianzia hapa, mwendo wa nyama choma kwa cocktail drinks. Wapi Kala B, jeshi la mtu mmoja.
Wageni wakiingia na kupokelewa.
Kijana huyu bana, kisa tu Liver imemfunga Man U kwa 2-1.
Aya bana, bubu akipata bahati ya kusema utajua tu, sijui alipokelewaje hapo mlangoni.
Wageni wakizidi kutiririka kwenye Birthday hiyo.

No comments:

Post a Comment