Sunday, January 1, 2012

UOZO WA UGHAIBUNI: MKALI WA NBA SHAQUILLE O'NEAL AMPIGA BUSU DUME MWENZIE:


Shaquille O'Neal, alilifanya tukio hili usiku wa Alhamisi, 'Ndani ya ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, na kisha baadaye katika mtandao aliandika... '"Mimi nitamlipa dola elfu moja kwa yeyote ambaye atajichora tatoo ya picha hii, nitumieni picha zenu kupitia akaunti yangu ya Twitter"

No comments:

Post a Comment