Saturday, January 14, 2012

KATIBU MKUU WA CHADEMA, DR. WILBROAD SLAA, AUNGURUMA MBALIZI MKOANI MBEYA, MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA BILA KUJALI MVUA:

Dk Wilbrod Slaa akiunguruma huku mvua Kubwa ikiendelea kunyesha Dr. Slaa aliendelea kuwahutubia mamia ya wakazi wa Mbalizi.

 
Baadhi ya mabango waliyobeba wanachama wa chadema Mbalizi wakimkaribisha Dr. Slaa kiwanjani hapo.
 
 
Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mbalizi wakimsikiliza Dr. Slaa huku mvua ikiendelea kuwanyeshea.
 

No comments:

Post a Comment