Thursday, January 5, 2012

HATA KWETU WAPO; NGOMA YA KUMTOA MWALI INAPONOGA:

Baadhi ya wakazi wa Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam, wakiwa wamembeba mwali wakati wa hafla maalumu ya kuwatoa wali iliyonogezwa na ngoma za asili katika eneo hilo.
Msanii akicheza ngoma ya sindimba huku akiwa amevaa kinyago usoni katika hafla ya kuwatoa wali, Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment