Thursday, January 12, 2012

CHARITY VINTAGE SALE BY MWAMVITA MAKAMBA THIS SATURDAY:

Hey ladies,
This year it's all about giving back…
This Saturday Mwamvita Makamba atakuwa anauza nguo ,viatu, handbag zake kibao
Sababu kubwa ya sale hii ni kupata pesa ya kusomesha watoto ambao ni oprhans wasio na uwezo wa kusoma kupitia Flavianna Matata foundation.

Unakaribishwa sana, kuja kununua vitu vya Mwamvita at the same time umsaidie mtoto anaehitaji msaada wako kupata elimu. Sale itafanyika pale KIKIS FASHION. Kuanzia saa nne asubuhi hadi saa moja usiku.

Usiwaze njaa wala kiu kutakuwa na snacks zinauzwa pamoja na vinywaji.
Usimwangalie Mwam ukahisi labda nguo zake hazitokutosha, naamini lazma unamjua mtu in ur life ambae ana size ya Mwamvita na unaweza kumnunulia kitu chochote kama zawadi.
Remember this is all for charity.
Come and show ur support.
See you there.
PS. Kutakuwa na pair ya CL inauzwa kwa bei poaaaaaaaaa……..hapana chezea, uskoseeeeeee…

No comments:

Post a Comment