Tuesday, December 27, 2011

PICHA ZAIDI KATIKA TUKIO ZIMA LA HARUSI YA MWIGIZAJI NA MCHEKESHAJI MAARUFU NCHINI NIGERIA, CHINEDU IKEDIEZE a.k.a AKI:


Mr & Mrs Chinedu Ikedieze.
Kanisani..
'Nitakupenda milele daima daima daima'
Wazazi wa bwana harusi, Chinedu (AKI).
Wazazi wa bibi harusi.
Ilibidi bibi harusi akae ili mambo mengine yaendelee kama kiss, hug, pety pety nk. Hongera sana AKI sisi tuko nyuma tunafuata nyayo zako brazaa.

Yaap kama hivi kitu mwaaaa.
Ulidhani hayupo mwenzake, maswahibaaaaaaa.
Mziki kimtindo, wakiduarika.
Peter & Paul (Hop u kno warr a mean.)
Osita Iheme a.k.a UKWA, PSquare na maharusi kwa snapshot ya pamoja.
We out guys, sorry for haters.
Waleeeeeeee kwenye gari ya sitaki ushambenga na ushakunaku.

No comments:

Post a Comment