Baada ya kanisani sasa ni kwenye mahanjumati ya kuwaka waka ukumbini, Waaaleeeeeeeeee. Sio lazima Benzi, Prado, Baloon, nk, kitu ni mwendo wa Trekta tu. Labda ni katika ile dhana ya kutaka kuwa Unique.
hawa ni moja kwa moja mbinguni maana mungu huwa hataki makuu na hii ndoa hii ni ishara tosha kama bi harusi juu ya tractor kwanini asile dagaa na tembele wakati wa dhiki au shida?

ReplyDelete