Wednesday, July 13, 2011

MKURUGENZI MKUU WA PRECISION AIR ALIPOTEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO:

Mkurugenzi mkuu na mkurugenzi mwendeshaji wa Precision Air, Bw Alfonse Kioko, ndani ya Power Breakfast show ya Clouds Fm Radio leo asubuhi. Kulia ni mtangazaji wa kipindi hicho, Gerald Hando, na katikati (aliyekaa) ni Paul James PJ.
Bw.Alfonse Kioko akihojiwa na mtangazaji wa Choice Fm, Babbie Kabae, katika kipindi cha asubuhi.
Mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group, Bw.Joseph Kusaga (kulia), Ruge Mutahaba (wa pili kulia) wakiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka Precision Air.
Bw.Alfonse Kioko akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group, Bw.Joseph Kusaga.
Picha ya pamoja.
Wakurugenzi hao wakiagana nje ya jengo la Clouds Media Group, mikocheni jijini Dar es salaam.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment