Tuesday, June 14, 2011

HEBU TAZAMA PICHA HIZI....!!!!!!????:

 Sauda Mwilima (MC wa shughuli) na Zamaradi Mketema.

 Penny na Aunty 'Gwantwa' Ezekiel.

 Aunty Ezekiel.

Christine Manongi 'Sinta'.

Hizi ni baadhi ya tu ya picha zilizopigwa na wanadada hao katika sherehe ya siku ya kuzaliwa 'Birthday party' ya Bi Christine Manongi maarufu kama Sinta iliyofanyika siku ya jumamosi, tarehe 11 juni 2011, Savannah Lounge-Quality Plaza jijini Dar es salaam. I don't know what is it, sikui kuna ulazima gani kwa mwanamke kuvaa hovyo hovyo anapokwenda kwenye sherehe ama sehemu zenye mkusanyiko wa watu kama ilivyo hapo juu. Mtu kama Aunty Ezekiel, kibongo bongo ni staa mkubwa wa Bongo Movie Industry ambae inampasa sana kutunza heshima na utu wake kama kioo kwa jamii lakini tazama hiyo picha akiwa ameshika kiti, eti pozi. Daaaahh!!,mmmhh..!!

Picha hizi nimezitoa katika blog ya Zamaradi Mketema, kwa picha zaidi  Bonyeza Hapa.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment