Mh.Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, mheshimiwa Freeman Mbowe ameachiwa kwa dhamana asubuhi hii baada ya kufikishwa mahakamani Arusha akitokea Dar es salaam ambako alikamatwa na polisi na kuwekwa rumande kwa siku mbili kabla ya kusafirishwa saa tisa usiku kwa ndege ya jeshi chini ya ulinzi mkali. Habari zaidi Bonyeza Hapa (Michuzi Source)
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.
big up mbowe na huu ndiyo upinzani wa kweli
ReplyDeletekutiwa ndani ni kitu cha kawaida sana tu
lakini itafikia wakati watashindwa kuwatia watanzania wote ndani au kuwapeleka mahakamani.