Wednesday, May 4, 2011

Vodacom yatinga Loliondo kwa 'Babu', yazindua huduma ya M-Pesa:

 DC akikata utepe kama ishara ya kuzindua huduma ya M-Pesa loliondo kwa 'Babu', sasa 'kazi ni kwao' wajasiliamali wa maeneo hayo.


'Babu' wa loliondo akikabidhiwa simu toka Vodacom.

No comments:

Post a Comment