Kama utakumbuka vizuri, siku kadhaa zilizopita, nilitumia eneo hili kwa ku-shoot movie yangu yangu ya kwanza.
Kipande hicho hapo juu ndicho hiki hapa chini, tofauti yake ni mwanga wa taa za usiku na mwanga wa jua la jioni.
Enzi zileeee, enzi za "Beautiful But Cheap". July Tax, Mwanadada Carin na cameraman wangu-Zaky Maduhu.
Kwa mbaaali, feel the resemblance.
Kudadadeki, chezea Mwanza wewe-Chezea Isamilo Lodge Swimming wewe.
No comments:
Post a Comment