Wednesday, November 21, 2012

KUTOA NI MOYO, TUMSAIDIE DADA HUYU:


Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18, ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara, amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote .

Wzazi wake wanatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu wake KCMC Moshi, binti huyu anahitaji msaada wa kifedha hivyo atakayeguswa na mateso haya ayapatayo binti huyu afike wodi namba 4 Hospital ya Mkoa wa Mara
                                    
 Au fanya mawasiliano kwa namba  0756 035 825/0712 165500
Katika kumsaidia Dada Anastazia tumia akaunti namba 022201093996 NBC

  Kutoa ni Moyo, tumsaidie Mtanzania mwenzetu



1 comment:

  1. jAMAN Mungu atasaidia na atapata msaa hakika shetani ana majaribu ya dunia mmmh

    ramsoict

    ReplyDelete