Friday, June 29, 2012
HALI YA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MADAKTARI YAENDELEA VIZURI:
Hali ya afya ya Dkt. Steven Ulimboka inaendelea vyema baada ya kushambuliwa na watu wasiofahamika usiku wa kuamkia juzi jijini Dar es Salaam.Ulimboka anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Kitengo cha mMifupa (MOI) aliko lazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) huku jopo la madaktari Bingwa wakiendelea kumnusuru Kama aonekanavyo pichani juu.Picha na Mdau Dande Francis
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment