Hii ndio MV Skagit ikionekana kwa angani jinsi inavyozama. (Picha kanitumia my brother Haki Ngowi)
Hapa ni bandarini Zanzibar miili pamoja na abiria waliosalimika wakiwa wameletwa. (Picha hii na nyingine zinazofata chini zimepigwa na JAVED JAFFERJI)
Imeripotiwa kwamba kwa saa mbili boti kadhaa za uokoaji zilishindwa kuondoka Bandarini kutokana na mafuta kukosekana, hapa ni mafuta yakiwa yamewasili.
No comments:
Post a Comment