Tukielekea kunako...
Chezea mimi wewe...! Lol.
Tulianza na Aerobics, kama kawaida yetu.
Tofauti tu ni kwamba hili lilikuwa ni bonanza kubwa la msimu.
Wahusika tukipata snapshot baada ya kumaliza mazoezi ya viungo.
Oshaona watu wakipata 'Maakuli katika bonanza wewe', hapa yalikuwepo. "Nilibonyea" kimtindo.
Si unajua tena mwili haujengwi kwa tofali na wala haulindwi na Mmasai. Msosi tu pekee ndiyo umepewa tunu hiyo.
Yaap yaap, soka sasa hapa ndipo nilipoipatia medali ya Gold ya mchezaji bora wa msimu. Hallooow.
Aah..aahh..ahhh..!! Wapi Sir Nyenga Jr. Akivishwa medali yake kwa kuwa mshiriki mwenye umri mdogo zaidi ya wote. Hongera sana kakaa.
Yes..! Full kikosi, nikiwa na medali yangu ya Dhahabu, kushoto kwangu ni goalkeeper bora wa msimu (Dada Naima). Chini ni Sir Nyenga na Mwanawe wote walinyakua medali kama wanavyoonekana pichani.
MICHEZO OYEEEE:
nami napenda kuwa mshiriki jaman
ReplyDeleteKaribu sana mzazi, kila jmosi ya kwanza ya mwezi-B.O.T Club, Pasiansi.
DeleteHaya bana Ze DressCode sikuwez
ReplyDelete