Marafiki pamoja na wageni waalikwa mbalimbali walifika kuangalia bidhaa zinazopatikana katika duka la ENJIPAI. Ufunguzi wa duka hilo uliambatana na chakula na vinywaji
Tuesday, December 13, 2011
ENJIPAI YA NASREEM KAREEM HII HAPA:
Mrembo, Miss Tanzania 2008, Nasreem Kareem, amefungua duka la bidhaa za Kitamaduni zinazotengenezwa kwa Mikono ambapo bidhaa hizo zinatengezwa na wanawake wa Kimasai. Duka hilo analoliita 'ENJIPAI' lipo barabara ya Kaunda Drive Oysterbay jijini Dar es Salaam. Tufike pale tumpe sapoti dada huyu, mrembo huyu, mwanandani huyu, shosti huyu..... Chezea Nasreem wewe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment