Wednesday, November 23, 2011

AJALI MBAYA YATOKEA UBUNGO - RIVERSIDE JIJINI DAR ES SALAAM MCHANA HUU:



Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana.
Baadhi ya watu katika eneo la ajali Mchana Huu eneo la river Side Ubungo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment