Tuesday, October 18, 2011

MAZOEA BWANA; CHEKI KIJANA HUYU ANAVYOVUKA MTO:

Kijana Mkaazi wa kata ya Magomeni iliyopo katika tarafa ya Kilosa mjini ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akikatisha ndani ya mto mkondoa kuelekea upande wa kata ya Mbumi.

No comments:

Post a Comment