Tatizo la mishahara midogo kwa wafanyakazi wengi barani Afrika kumbe si janga la Tanzania tu bali hata nchi zenye asili ya kiarabu kama vile misri, cheki hiyo juu. Egypt's workers demanding a raise in the monthly minimum wage from about US $70 to US $200. Read more,
CLICK HERE (Aljazeera news)
Hawa nao vp, kwani wana njaa kama bongo?
ReplyDeletepoleni sana wa Misri, viongozi wetu wa Afrika wanajua kula wao tu wakati wananchi wanateketea kwa njaa.
ReplyDeleteDuu, noma.
ReplyDelete