Tuesday, October 18, 2011

BASATA YAWATAKA WASANII KUJITAMBUA NA KUTHAMINI KAZI ZAO:

Meneja uzalishaji wa kundi la vichekesho la Orijino Komedi, Sekioni David 'Seki' (Aliyesimama) akiongea na wadau wa jukwaa la Sanaa wiki hii kwenye ukumbi wa BASATA, jijini Dar es salaam.
Msanii/mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile 'Joti', akisisitiza jambo alipokuwa anazungumzia changamoto anazokumbananazo kwenye sanaa yake ya uchekesaji.
Mkurugenzi wa idara ya utafiti, mafunzo na habari BASATA, Godfrey Mungereza, akieleza juu ya haja ya wasanii kujitambua na kuthamini kazi zao katika jukwaa la sanaa wiki hii.


Wadau wa sanaa waliohudhuria jukwaa hilo la kila wiki.

No comments:

Post a Comment