Monday, April 25, 2011

Alipofika kwa mara ya kwanza jijini Mwanza




Alipopelekwa katika moja ya Cafteria za jiji hilo kwa ajili ya 'Shopping ya tumbo', Boss taratibu Boss angalia visikwame kooni.





Duuh..! Boss mikwara mpaka kwenye kula.., punguza ukali basi kwa subbordinate wako, enjoy your meal.



Moja ya wenyeji wake waliompokea alipofika Mwanza akimpa support kwenye msosi, kama kawa kamua mwana wakati ndio huo.



Ready to Go: Kigogo huyooo anateremka toka mjengoni baada ya kumaliza seminar na vigogo wenzake. Seminar hiyo ilikuwa juu ya mikakati ya kuikomboa Tanzania kibiashara kutoka kwenye kilimo.

No comments:

Post a Comment