Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Malawi marehemu Prof.Bingu wa Mutharika, kijijini Ndata,wilyani Thyolo, nje ya jiji la Blantyre, nchini Malawi leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Malawi Marehemu Prof.Bingu wa Mutharika wakti wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Ndata,Wilaya ya Thyolo, nje ya jiji la Blantyre, leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika,wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Ndata,wilayni Thyolo leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Marehemu Rais Wa Malawi Bingu wa Mutharika, Bi Calista Mutharika wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Ndata,Wilayni Thyolo, nje ya jiji la Blantyire, Malawi leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais mpya wa Malawi Bibi.Joyce Banda wakati wa mazishi wa Rais wa zamani wa Malawi Marehemu Prof.Bingu wa Mutharika kijijini kwake Ndata, wilayni Thyolo, nje ya Jiji la Blantyire leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment