Msanii wa Filamu Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa chini ya ulizi wa Askari Magereza hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lulu alisomewa tena leo kesi yake na hakutakiwa kijibu chochote kwani mahakama hiyo haisikilizi kesi za Mauajiulu anakabiliwa na tuhuma za mauaji ya Steven Kanumba.
Lulu akiingozwa rokapu ya mahakama ya Kisutu.
Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali, Elizabeth Kaganda, alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Rita Tarimo, hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa askari Magereza.
Lulu akitoka mahakamani chini ya ulinzi wa askari.
Akisindikizwa kuelekea kwenye karandinga la Magereza.
Chini ya ulinzi mkali, kama kawa.
Akiwa ndani ya karandinga tayari kwa kurudishwa lupango a.k.a Segerea.
Daah, masikini Lulu. Pole sana.
Askari wa kikosi maalumu cha magereza wakilinda msafara wa mahabusu wote akiwemo Lulu.
Aaah.., bado tupo kwa kazi, Roja roja roja.
No comments:
Post a Comment