Warembo walipokuwa wakifungua pazia kuzindua nembo ya Mdhamini mpya wa Miss Tanzania 2012.
Meneja wa Kinywaji cha Redds, Vick Kimaro (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano na Sheria wa TBL, Stephen Kilindo wakiungana na warembo wa Miss tanzania 2011 kugonganisha vinywaji vyao vya REDDS kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa Msimu mpya wa mashimndano ya Urembo 2012.
Waliyarudi mangoma baada ya kuzindua...
warembo mbalimbali walijumuika katika tafrija hiyo pale Mlimani City, hapa ni warembo wa Miss tanzania na marafiki zao katika zulia jekundu.
Mzee wa Jahazi, Epraim Kibonde akitoa Asalam Alekhum kwa Miss Tanzania 2011, Salha Izrael
Meneja wa Chapa ya Kilimanjaro George Kavishe alikuwepo kumpa tafu Meneja wa Chapa ya REDDS, Vick Kimaro wote kutoka TBL.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga akiteta jambo na Mkurugenzi wa masoko wa TBL, Fimbo Butala.
Christina Manongi (Sinta) ama J Lo wa bongo (kulia) na marafiki zake nao walikuwepo
Mdau kutoka Zantel akibadilishana mawazo na marafiki.
wadau wa karibu wa Miss Tanzania nao walitia timu.
Hadija Kalili na Somoe Ng'itu (kulia) nao walifuatilia kwa ukaribu tukio hilo
Wadau mbalimbali walikuwepo wakiwapo waandaaji wa masjhindano hayo ngazi ya vitongoji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Prashant Patel akiwa na wadau wa urembo nchini, Odhiambo, Mchata, Innocent na wengineo.
No comments:
Post a Comment