Thursday, February 16, 2012

MLEMAVU AKISHANGILIA KWA STAILI YA AINA YAKE:

Mkaazi wa Mbinga ambaye ni mlemavu akifurahi kwa staili ya aina yake wakati wa mapokezi ya makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal alipowasili katika viwanja vya mradi wa mashine za kuazalisha umeme.

No comments:

Post a Comment