Thursday, February 16, 2012

KIDUMU KUSHOW LOVE NDANI YA DAR LIVE:

Nyingine ni Msanii Kidumu kutoka nchini Burundi atazikonga nyonyo za mashabiki wa muziki wa RnB ndani ya Ukumbi wa hadhi ya juu wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Jumapili Februari 19, 2012. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa sana. Wakali wengine kama Linex, Wakali Dancers, TOT Taarab, Sikinde na Khadija Kopa watamsindikiza mkali huyo.

No comments:

Post a Comment