Tuesday, October 18, 2011

MAMA SALMA KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU MAMA BING ALIYEUWAWA NA MAJAMBAZI:


Picha ya Marehemu Mama Han Bing mke wa Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara wa kichina nchini Tanzania.
Mmoja wa Wanafamilia akimbembeleza mtoto wa marehemu, lady Han Bing.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mtoto wa marehemu Han Bing wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika Dar es Salaam. Oktoba 11, majambazi yalimuua Han kwa risasi na kumpora sh milioni 30 alizokuwanazo kwenye gari.
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpa pole mume wa marehemu.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA ,akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Mama Han Bing mke wa Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara wa kichina nchini Tanzania aliefariki oktoba 11,2011 jijini Dar es Salaam kwa kuuwawa na majambazi wasiojulikana.
Mama Salma Kikwete akiwa katika misa pamoja  na viongozi mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe akitoa salamu za pole wa wafiwa na wanajumuiya ya kichina katika msiba huo.
Ndugu, Jamaa na marafiki wakiomboleza katika msiba huo.


Kamanda wa kanda maaluum ya kipolisi Suleiman Kova akiwapa pole wmna jumuiya ya wachina waishio Tanzania jijijinDra es salaam wakati walipokwenda kuaga mwili wa Mama Han Bing alieuwawa na majambazi oktoba 11.2011.

No comments:

Post a Comment