Afisa mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Graciano Mfuse, akiwapa maelezo baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh. 72M ambalo atazawadiwa mshindi wa shindano hilo Mlimani City, septemba 10 2011.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Alexia William akimsikiliza afisa mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors, Magdalena Mpeku akimpa maelezo namna ya kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh.Milioni 72 ambalo mshindi atazawadiwa siku ya shindano hilo, Mlimani City jijini Dar es salaam, septemer 10 2011.
Vodacom Miss Photogenic, Stacy Sospeter, akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit ambalo alikuwa akijifunzia namna ya kuendesha.
Baadhi ya magari yaliyotumiwa kuwafundishia warembo hao, Coco beach jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment