Mwanangu huu mziki wa leo si kitoto. Kweli wapiganapo mafahari wawili ziumiazo ni nyasi.
Kama si mgomo hakika usingeona baiskeli inayotumia mafuta.
Waleeeee.
Kama kawa, mnyororo.
Hasira hizooooo.
Oyaa, acha utoto tutakipindua sisi kibajaji chako hichi.
Kumpa dumpa kumpa benga nigga... Full ng'ai ng'ai.
Huku kimvua kikinyesha nyesha.
Mtoto hatumwi sokoni hiyo. "Mama, baba yuleee kabeba dumu kubwa"
Mwisho wa siku mwenye kisu kikali ndo anakula nyama. Mbabe mimi bana utaniambia nini?
No comments:
Post a Comment