Thursday, August 4, 2011

KIZAA ZAA CHA WALIOKWAMA KWENYE LIFT YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI JIJINI DAR LEO; WALIKUWA WANAKWENDA KWENYE MKUTANO ULIOKUTANISHA SERIKALI (KUPITIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI) NA WAMILIKI WA VITUO VYA KUUZA MAFUTA:


Mmoja baada ya mwingine wakichomolewa baada ya mlango kufunguliwa, kaaazi kweli kweli.

No comments:

Post a Comment