Tuesday, August 20, 2013

MY FIRST INTERVIEW ON TV; PALE PALE TING'A NAMBA MOJA KWA VIJANA, EATV-CHANNEL5:

 Ilikuwa ndani ya "HotMix" ya EATV-Channel5, jumatano ya wiki iliyopita August 14 2013.
 Soon after the show, nikiwa na presenter na assistant producer wa "HotMix".
 Na mkali wangu, assistant producer wa show ya 5Sport, Zaka Zakazi-Zakarinho a.ka.a Wenze....!
 Sana tu. Bring it up...!
 Eehhehe, hapo sasa. Na super producer wa show ya "HotMix", Kidjaaah. Najua unamsoma sana huyu.
Yap, one more time for show baby. Get it right.

2 comments:

  1. Dah!!namkubali sana Kija,ila mbona haonekani cku hizi......Kazi nzuri kijana kaza buti huo ndo mwanzo wako wa safar kuelekea ktk mafanikio.....hiyo show niliiangalia yote.

    ReplyDelete
  2. Daah, hatari sana wewe kijana Shaffy. Pamoja sana.

    ReplyDelete