Saturday, June 29, 2013

SCENE ZA MWISHO MWISHO....!

Mmmmh....., sijui kama nani vile.
"Nina pesa mingi mpaka natamani jiteka...!"
 Scene ilidoda hii, kila kitu kipo location isipokuwa waigizaji wawili tu, wakasabisha kazi kutofanyika.
Zikabaki stori mpaka wengine wakaanza kusinzia tukiwasubiri subiri labda watatokea, waaapiii. Mabinti bana. Ila ndiyo changamoto na matatizo ya kazi zetu hizi.
 Siku ile ikafa bila ya kufanya chochote, siku iliyofuata hasira tukaweka pembeni kidogo tukaanzia huku.
 Mradi kazi iishe na ilimalizika.
 Na washikaji tukiseti seti mambo. 
Producer MALU akifanya setting za camera. 
 Nikiwa na "Siri ya Mtungi" yangu nikichukua chukua matukio.
Ofisi safiii.


Action.
 

2 comments:

  1. Thank you for taking the time and writing this post. Great help for me!For More info Get in Touch withClipping path serviceThanks For You Sharing.

    ReplyDelete