Sunday, January 27, 2013

THE MAKING OF A NEW MOVIE... INAENDELEA; NDANI YA CF HOSPITAL-MWANZA:

 Kutana na Dr. Caris hapa....Ze DressCode. Ndani ya CF Hospital.
 Tukishangaa shangaa kidogo kabla mambo hayajaanza.
 Pacha wangu (Ki muvi-muvi lakini).
 Mwanza tuko wawili tu....OPODI mwenyewe anajua.
Sir Mahela akinyoosha nyoosha mambo kabla hatujaingia mitamboni.
 Doctor nikipakwa pakwa poda, si unajua kung'aa ni muhimu.
 Aahh... mama movie wee. Ning'arishe doctor wako ning'ae.
 Pozi kwa pozi, kama kasichana kadogo vile...mama wewe.
 Timu imekamilika.... Toka kushoto, Camera man-Sir Mahela, Mgonjwa-Kyala, Doctor-Caris, Boom Swinger/Operator-Kisura.
 Kama kawa hapa. Doctor ni doctor tu.., kwa 4n call kidogo.
 Neno kutoka kwa Kyala.
 Ninawaza, nitamtibiaje mgonjwa wangu Kyala...jamani ameumia sana.
Baada ya kugongwa na gari Kyala aliletwa hospitalini kwa Doctor Caris.
 Kyala taabani kabisa, chezea kugongwa na gari wewe..
 Mama movie akisikilza maelekezo muhimu kutoka kwa daktari wake.
 Nikimweka sawa mgonjwa wangu.
 Mr Chacha (Sambamba na Camera Man Mahela) - Mkurugenzi wa CF Hospital tulikuwa naekipindi shooting ikiendelea na hapa akijaribu ku-preview scene zote tulizopiga hospitalini hapo. Hasante sana Mr. Chacha.

 Hapa nimeshamaliza kumhudumia mgonjwa wangu..
 Scene za nyuma yake, mgonjwa akitolewa Theatre na kulepelekwa wodini.
Mama akisubiria zamu yake ya kuingia kwa daktari.. 

NB: SCENE ZOTE ZA HOSPITALI KATIKA FILAMU HII ZIMEFANYIKA NDANI YA CF HOSPITAL YA HAPA HAPA JIJINI MWANZA. HASANTE NA SHUKRANI ZETU ZA DHATI ZIENDE  KWA UONGOZI NA WAFANYAKAZI WOTE WA CF HOSPITAL.

Caris Komba,
Executive Producer,
DETECTIVE OPODI FILM PROJECT.

3 comments: