Tuesday, May 1, 2012

YAH:- BLOGGERS' CODE OF ETHICS:


Ndugu,
Ujumbe huu unakujia kwa sababu naamini wewe ni blogger.Sisi kama bloggers,tunawajibika kuwa na maadili au misingi yetu. Kinyume cha hapo kazi zetu,msukumo wetu unaonekana kuwa wa kiholela kama sio kihuni.Isitoshe,ni uonevu kwa wengine.Hapa nazungumzia maadili ya bloggers.Upo mchakato unaoandaliwa ili kuwa na maadili ya pamoja zaidi.Tunausubiri kwa hamu.

Lakini wakati tukiusubiri mchakato huo utimie,nimeona nigawane nawe maarifa haya(kizuri kula na nduguyo).Ni maadili ya bloggers.Nimeyachapa katika wavu wangu. Moja kati ya mengi yaliyopo katika kipengele hicho cha maadili kwa bloggers ni;

Be Honest and Fair:
Bloggers should be honest and fair in gathering, reporting and interpreting information.
Bloggers should:
• Never plagiarize.
• Identify and link to sources whenever feasible. The public is entitled to as much information as possible on sources’ reliability.
• Make certain that blog entry, quotations, headlines, photos and all other content do not misrepresent. They should not oversimplify or highlight incidents out of context.
• Never distort the content of photos without disclosing what has been changed. Image enhancement is only acceptable for technical clarity. Label montages and photo illustrations.
• Never publish information they know is inaccurate — and if publishing questionable information, make it clear it’s in doubt.
• Distinguish between advocacy, commentary and factual information. Even advocacy writing and commentary should not misrepresent fact or context.
• Distinguish factual information and commentary from advertising and shun hybrids that blur the lines between the two.
Read more: Nakuomba ufuate kiunganishi hiki....>>>>

Mwambie na yeyote yule ambaye unadhani anaweza kufaidika na ujumbe huu. Ukiweza uchapishe katika jukwaa lako pia, pamoja tutafika.

Asante na uwe na siku njema.

CARIS KOMBA,
Managing Director AND Owner/Founder,
CARIS BLOG/THE CARIS PAGE:

No comments:

Post a Comment