Caris 'Ze DressCode' (Katikati) akiwa na Myrosh na dada Carin (The main actress).
Zaky, Ney na Ras Jaffar katika mapitio ya script kabla ya mambo kuanza.
Carin akitupia zile make up kwa Myarosh.
Zaky na Ras kwa snapshot.
Nami nikihusika upande wa Make up, nikimshainisha Myrosh. Incase you didn't know, I am make up artist as well.
Enhee..!! You ready...???
"Yaani wewe mpaka sasa ndo unapiga mswaki, hivi una akili kweli wewe, sisi tunaondoka tunakuacha hapa". Ni maneno ya kwenye script yakitamkwa na Ney (wifi yake Carin katika picha hii).
Wifi wifi wifi.
Raph na Carin kwa kitanda.
Anhaa, kitu cha pweza gizani.
Walaaa walaa wewe. Usiku mwema jombaaa.Acha acha acha acha acha, Raph bana.
*Binafsi, nitaikumbuka sana siku hii si kwasababu tu ndiyo siku ambayo tulipomaliza kushoot usiku wake Kanumba akafariki dunia, la hasha..! bali tulikuwa tukishoot huku tukiitana majina ya mastaa kadhaa waliotutangulia kuingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini na mtu tuliyekuwa tukimtaja kwa kumtolea mifano mingi kama Role Model wetu alikuwa ni marehemu Steven Charles Kanumba ambaye leo hii ndiyo anaagwa katika viwanja vya Leaders na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. Tutakukumbuka sana ndugu yetu Steve, Bye bye The Great-Kanumba, May your soul Rest In Peace-Amen".*
--Caris Komba--
Executive Producer
The Ongoing Film Project.
Daaaaaa Poleni ila dont give up u still have chance
ReplyDelete