Agrey Luvinga
Sio siri "old is gold" Jo makini sikuizi unaniboa kinoma! naomba
kufunguka yalio moyoni mwangu nkiwa kama shabiki wako no 1.
Nkisikiliza nyimbo za joh makini akati anatoka zilikua tofauti na za
sasa ambazo amezidi kutumia flavor au lafudhi ya JZ, Mfano,"karibu
tena", "brandy", "wawiwo", "kilimanjoro" na nyingine fulanifulani iv
kibao alizo shirikishwa miaka hii ya karibuni.
Sikatai we ni msanii mkali na ni hip - hop disciple kama walivo
malegendari wengine hapa kwetu TZ na kusini mwa jangwa la sahara,
binafsi naboreka sana kuona umetoka kwenye style ulokua unatumia
mwanzoni lyk kwenye hit song za "Hao", "ufalme", "chochote popote",
"tomorrow", Niaje ni vipi", "muda", "tuliko toka ya geez mabovu" na
nyingine uloshirikishwa kipindi hicho mfano "sitarudi ya QJ, "Rafiki
ya Suma lee na albam yako ya kwanza kiujumla u was rly my JOH
MAKINI.kipindi kile ulikua haupewi tuzo ila kitaa kilikusoma ipasavyo
bt kwa sasa unaimba kwa colour sijui ndo unazitafuta tuzo za kili kwa
nguvu zote? i don know! ko kama hutamaindi irudie style yako ya kale
coz kama ni demu basi ulinifikisha ki..le....ni, usipuuzie huu waraka
coz huwezi jua labda sio mimi pekeangu ninae boreka hata yesu aliacha
kondoo 99 akaenda kumtafuta kondoo mo1 alie potea. I love hip-hop na
we ndo Ma favoriety mc wngu! so keep it real brada i lyK u. ITS ME NO
1 HIP-hop fans toka UDOM.
Hi ni kwa Roho safi kabisa sio dis!
No comments:
Post a Comment