Mr Blue.
MSANII anayetamba na ngoma ‘Tilalila’, Mr Blue, amesema kuwa mwaka huu hatarajii kutoa albamu kwani kwa upande wake hazimlipi ingawa kwa sasa yupo katika mchakato wa kutoa ngoma mpya ambayo itafanyika Nairobi Kenya.
Akizungumza na mtandao wa DarTalk, msanii huyo alisema anapenda kutoa albamu lakini kwa bongo hazina faida kubwa kama ilivyokuwa kwa nchi nyingine kama Marekani.
Blue akiwa katika pose
Alisema wasanii wengi wanatumia gharama kubwa kutengeneza albamu lakini faida yake inakuwa ndogo kutokana na wizi unaofanya na watu wasiojali kazi za wasanii.
Hata hivyo DarTalk, ilitaka kujua jina la ngoma yake anayoenda kuifanyia Kenya, ambapo alijibu kuwa kazi hiyo itakuwa ni surprize kwa mashabiki wake kwani kuna msanii wa nchini humo atamshirikisha ambaye pia hakutaka kumtaja jina.
Mr Blue aliongeza kuwa anatarajia kusafiri hivi karibuni ili kufanya kazi hiyo ambayo itamchukua muda wiki tatu hadi nne kumalizika ambapo baada ya hapo atamweka wazi msanii atakayefanya naye ngoma yake.

No comments:
Post a Comment