
Anaitwa Abdulmalick Simba Mgeni (21) jina la kisanii D. Malick.
Ameanza muziki mwaka 2005 akiwa Mwanza Tanzania.
Wimbo wa kwanza Utaniumiza, studio Mo-Records baadaye akafanya project yake chini ya Sam Timber ngoma iliyoitwa Forgive me, kisha wimbo Mrembo, mara baada ya hapo alisaini lebo Young Don Records nakuachia hits Mtima Wange ambapo pia alifanikisha video yake.
Baada ya kutokuelewana na Young Don akasain out.

No comments:
Post a Comment