Wananchi wakishuka kutoka kwenye kivuko cha MV Magogoni jijini Dar es Salaam. Serikali Januari mosi ilipandisha nauli katika kivuko hicho kutoka Sh 100 hadi 200/-. Kwa muda wa miaka 14 iliyopita kivuko cha Kigamboni kimekuwa kikitoza nauli ya Sh 100 kwa mtu mzima.
No comments:
Post a Comment