
"Pamoja na Taifa Letu kuwa na umri mkubwa (miaka 50 ya Uhuru) sambamba na rasilimali tulizonazo, nchi hii inashika nafasi ya tatu kuwa ombaomba duniani, nchi ya kwanza ni Iraq ya pili ni Afghanstan nchi hizo zikiongoza kwasababu ya vita nchi ya tatu ni Tanzania"






WENJE AKANA ONGEZEKO LA 'SITINGI ALAWANSI' asema tangu itajwe hajaiona kwenye akaunti yake.

No comments:
Post a Comment