Irene Paul akiwa on set katika maandalizi ya muvi mpya kutoka kampuni ya RJ Company, muvi hiyo inabatizwa jina la "The Unpredictable".
Camera inashikwa na mwanamama, Bi Khadija Khamis.
Mama Njahidi (Mama mzazi wa Patrick - kijana mdogo aliyeigiza na Jenifa katika muvi ya This Is It, Uncle JJ na Devil Kingdom, zote za Kanumba )akiwa on set pamoja na Kindeki mdada mdogo anayekuja kwa kasi kubwa katika fani.
Kindeki akiwa on set.
No comments:
Post a Comment